๐Ÿจ Huu ni MFANO โ€” tunaweza kukutengenezea mtindo huu au wa aina yoyote  ยท  Rudi kwenye Mifano Yote
PWANI YA ZANZIBAR

Pumzika kwa Amani,
Karibu na Bahari

Vyumba vya kifahari vyenye mandhari ya bahari, huduma bora na amani ya kweli.

MALAZI YETU

Chagua Chumba Chako

Chumba cha Kawaida

Kitanda kimoja kikubwa, mandhari ya bustani.

TZS 85,000 / usiku

Chumba cha Deluxe

Mandhari ya bahari, balcony binafsi.

TZS 150,000 / usiku

Suite ya Familia

Vyumba viwili, jikoni ndogo, mandhari kamili ya bahari.

TZS 280,000 / usiku

WiFi ya Bure

Intaneti ya kasi kote hotelini.

Kiamsha Kinywa Bure

Kiamsha kinywa cha asili kila siku.

Usafiri wa Uwanjani

Tunakuchukua uwanja wa ndege bila malipo.

Unapenda mtindo huu?

Tunaweza kukutengenezea tovuti ya hoteli/nyumba ya wageni yako kwa mtindo kama huu.

Nataka Style Hii โ€” WhatsApp